Joma Poultry Company Ltd! Tunatoa huduma bora za Vifaranga vya kuku wa nyama (chotara, broiler), vifaranga wa kuku wa mayai (layers) (Bovans brown, Hy-line brown), chanjo za kuku, madawa kwa magonjwa ya kuku, zana za ufugaji, pamoja na ELIMU YA UFUGAJI.
Uzoefu zaidi ya miaka 15
Tunauza bidhaa bora na Tuna wataalamu wenye uzoefu mkubwa katika ufugaji bora wa kuku
Tunakufikia ulipo
Bidhaa zetu zinapatikana kwa ubora wa hali ya juu katika maduka yetu, na tunaweza kukufikia popote ulipo.
Huduma Zetu
Vifaranga wa kuku, Vyakula, Chanjo, Madawa na Elimu ya Ufugaji
Vifaranga vya kuku wa nyama (chotara, broiler), vifaranga wa kuku wa mayai (layers) (Bovans brown, Hy-line brown), chanjo za kuku, madawa kwa magonjwa ya kuku, ELIMU YA UFUGAJI